Usiku wa May 21 2016 fainali ya kumtafuta mrembo wa Miss Dar City Center kwa mwaka 2016 zilifanyika katika ukumbi wa Millenium Tower Kijitonyama,
huenda wewe ukawa ni moja kati ya watu waliopenda kuhudhuria event hiyo
ila kutokana na muda haukufanikiwa kuhudhuria. Kama uliikosa hivyo mtu
wangu kuna pichaz 17 nimekusogezea.
Sunday, May 22, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment