Saturday, May 21, 2016

New Video: Mayunga ft Akon – Please don’t go away

Mshindi wa Trace Music Star aliyeiwakilisha poa Tanzania kwenye mashindano hayo na kuibuka kifua mbele, Mayunga leo ameachia rasmi video mpya ya single yake aliyomshirikisha staa Akon iitwayo ‘Please Don’t go away’.
Katika video hiyo ndani ameshirikisha mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chris Brown, Ty Dolla Sign iitwayo Play No Games
itazame hapa mtu wangu ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako ili Mayunga atapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname

Powered by Blogger.