Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake.
“Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki
wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili
ya mashabiki wangu,” Kiba alikiambia kipindi cha Friday Night Live cha
EATV.
Hata hivyo Kiba alikiri kuwa kumtaja Wema kwenye wimbo huo kimekuwa ni kitu cha surprise kwa mrembo huyo.
Aje ni miongoni mwa nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa si tu Tanzania, bali sehemu nyingi za Afrika.
Monday, May 30, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment