Busu
ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa
Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa.
Hayo
yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha kwenye
Mtandao wa Kijamii wa Instagram ndipo wafuasi wa mtandao huo walipoanza
kumsema vibaya wakidai anajiabisha kwa vitendo visivyofaa.
Alipoulizwa
kuhusiana na jambo hilo, Penny alisema: “Hayo ni maneno tu huwa hayani
sumbui, lile ni busu la kawaida. Nimembusu kama rafiki lakini
nawashangaa hao wanaozua mambo yao na kuzungumza tofauti.”
- GPL
Sunday, May 22, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment