Meneja
wa msanii Diamond Hamisi Taletale maarufu kwa jina la Bubu Tale
akizungumza na wanafunzi wa Mbezi Beach shule ambayo alisoma na kuwapa
ushauri kuhusu kuzifuata njia nzuri za mafanikio na kutimiza malengo
katika maisha, aliwapa mfano wa yeye alikopita mpaka kufanikiwa katika
mambo yake anayofanya lakini jinsi alivyoanza kufanya kazi na Diamond,
Tale alisema kuwa Diamond alimfuata na kumuomba awe meneja wake baada ya
kuona kazi aliyokuwa akiifanya, Tale alikubali na kufanya siri kwa mala
ya kwanza kwa kuogopa skendo za magazeti kipindi hicho Diamond alikuwa
akiandikwa sana katika magazeti. ilikuaje mpaka siri ikavujika na
kujulikana kama ni meneja wa Diamond huyu hapa tale akielezea….
CLICK HAPA KUONA VIDEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment