Saturday, May 21, 2016

Formation World Tour ya Beyonce Yaingiza Dola Million 20 Kwa Show Nne Tu. ..

Queen Bey anaendelea kutengeneza histori na ziara yake ya muziki ‘Formation World Tour ya Beyonce’, Hadi sasa ameshaingiza zaidi ya dola Million 20.
Hadi sasa muimbaji huyo wa ‘Lemonade’ amefanya show 4 zilizomuingizia dola million 20,668,255, ambapo show ya kwanza ya aliyoifanya aliingiza $5,252,615, Ya pili aliingiza $4,803,295, ya tatu akaingiza $5,801,725 na ya nne $4,810,620.

Tour yake ya mwisho aliyofanya na Jay Z ‘On the Run’ waliingiza zaidi ya dola Million 100.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname

Powered by Blogger.