Msanii wa Hip Hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amewatoa
udenda mashabiki wake wa instagram baada ya kupost picha akionyesha
mabunda ya pesa huku pesa zingine zikiwa kwenye begi.
Rapa huyo anayefanya vizuri na wimbo wake ‘My Life’, alipost picha hizo instagram na kuandika: Mshamba anaeishi maisha yake.
Baada yakupost picha hizo instagram, mashabiki walianza kupost maoni yao huku wengi wakionyesha kutopendezwa na hatua hiyo.
_____ozii
Pesa kuonesha hadhan ndugu utajkuta pabaya watu skuiz washa geuka so
watu pls so ktu kzu kufanya hvy uspende kuonesha hadhara ni wazo langu
tu ndugu one love man
Checheclassic
Hyoo pesa umeitoa wp janjaro
Fightking
Dont be happy becouse of Money it is just paper
Materujacqueline_fans
Nikopeshe bac maana mate yamenitoka elfu kumi kuishika Siku hizi ni shidaa
omachito1977
Con ese dinero te puedes comprar una cara nueva (Pamoja na fedha kwamba unaweza kununua sura mpya)
Monday, May 23, 2016
Dogo Janja Awatoa 'Povu' Mashabiki Wake Wa Instagram Baada Ya Kuonyesha Mabunda Ya Pesa
Labels:
Dogo Janja,
Entertainment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment