Kila siku
asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti
ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya
Twitter >>>@millardayo.
Tayari
nimezikusanya stori za Magazeti ya May 21 2016 na waweza kuzipitia hapa
chini moja baada ya nyingine, moja ya stori kubwa ni hii kauli ya
mtaalamu wa lishe wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Denis Mbinga katika mahojiano na Gazeti la Mtanzania.
Katika
mahojiano hayo Mbinga alisema matatizo ya watoto kuzaliwa na vichwa
vikubwa , mgongo wazi na magonjwa mengineyo katika siku za karibuni
yameongezeka kutokana na ulaji wa vyakula visivyofaa na hasa chipsi na
vile vilivyosindikwa viwandani.
Chipsi hatari kwa wajawazito, husababisha watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi pic.twitter.com/cokU8aBoIC
— Goodluck Mathias™ (@gudmathias) May 21, 2016
No comments:
Post a Comment