Hatimaye Wema Sepetu Akubali Kuolewa Na Idris, Afunguka Zaidi Hapa....!
Penzi
la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema
Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika
video alipoulizwa na shabiki yake ni lini atafunga ndoa na Idriss.
No comments:
Post a Comment