Wiki hii kituo cha runinga cha BET tawi la Afrika kimempa shavu mtoto huyo mwenye takriban miezi kumi sasa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
“Our #CuteDay snap is baby Princess Tiffah, @diamondplatnumz’s bundle of cuteness. RT to share the cuteness,” wameandika BET kwenye picha ya mtoto huyo iliyowekwa Instagram na Twitter.Mama yake, Zari ameirepost pia picha hiyo kwenye Instagram.
Diamond ametajwa tena mwaka huu kuwania tuzo za BET kwenye kipengele cha Best International Act: Africa. Bofya hapa kumpigia kura.
No comments:
Post a Comment