Sunday, June 5, 2016

Pichaz: Yaliyojiri Mbagala Zakhem Kwenye Siku Ya Chips MayaI (Zege Day)

June 4, 2016 kituo cha radio Choice FM 102.5 kimewakutanisha wadau katika viwanja vya Mbagala Zakhem kujumuika kula Chips Mayai huku wananchi wakapata nafasi ya kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali.
Miongoni mwa waliohudhuria ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.

.
.
.
.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza baada ya kufika katika viwanja vya Mbagala Zakhem #Chipsmayaiday
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_0209
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_0366
.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishiriki kula Chips Mayai katika viwanja vya Mbagala Zakhem
.
.Shilole akifanya yake katika viwanja vya Mbagala Zakhem 
.
.Msanii kutoka WCB, Raymond akitoa burudani ya nguvu
.
.Staa Mr Blue akitoa burudani ya nguvu katika viwanja vya Mbagala Zakhem

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname

Powered by Blogger.