Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya
kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama
13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini baada ya mazoezi
mengi kwa sasa yupo vizuri.
Siku chache zilizopita msanii Ali Kiba alikubali kua pamoja na kukaa
katika gemu mda mrefu na kukutana na wasanii wengi wa nje lugha hiyo
bado ni tatizo kwake. Japo anaweza kuongea kidogo sana kwa Kingereza ila
si mtaalamu sana. Msikie hapa akifunguka kuhusiana na swala hilo....
Sunday, June 5, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment