Alhamisi hii, Linah amesema licha ya kuachana na Ex wake huyo miezi kadhaa iliyopita, lakini bado alikuwa anawasiliana naye na taarifa za kufunga ndoa alikuwa yazo.
“Katika hali ya kawaida nimejisikia poa kwa sababu nilishaacha naye, kwa hiyo mimi nilikuwa namtakia mazuri siku zote, na ndo maana tulikuwa washikaji,” alisema Linah.Pia Linah amesema wakati Ex wake anafanya mipango ya kuoa alikuwa anawasilianaye pamoja na kupewa taarifa mbalimbali ya vitu vinavyoendelea.
Pia muimbaji huyo wa wimbo ‘Ole Themba’, amesema alishindwa kuhudhuria ndoa ya Ex wake kutokana na kuwa busy na kazi.
No comments:
Post a Comment