Kuwa verified katika mitandao ya kijamii ni kitu ambacho kinawaongezea wasanii umakini na kuwapatia uhakika kwa mashabiki wao, Kwa Tanzania idadi ya wasanii inazidi kukua ikiwa ni June 29 2106 mkali wa bongofleva Baraka Da Prince amekuwa miongoni mwa wasanii waliokua verified kwenye mtandao wa Instagram.
Msanii huyu mwenye followers laki tatu na arobaini na nne elfu na kuweza kuwa miongoni mwa wasanii wa kitanzania waliokua verified, wasanii hawa kama Flaviana Matata, Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Idris Sultan, Ommy Dimpoz na Ali Kiba.
list ya mastaa wengine waliokua verified hii hapa chini
1.Diamond Platnumz
2. Vanessa Mdee
3. Flaviana Matata
4. Ommy Dimpoz
5. Idris Sultan
6. Ali Kiba
Share na Marafiki:
No comments:
Post a Comment