Monday, July 18, 2016
New Music: Joh Makini f/ Chidinma – Perfect Combo
Baada ya kuanza kwa kuachia video yake, Joh Makini ameachia audio ya wimbo wake ‘Perfect Combo’ aliomshirikisha muimbaji wa Nigeria, Chidinma. Wimbo umetayarishwa na producer wa Kenya, R-Kay.
Labels:
Music
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment