Malikia wa uswazi kama mwenyewe anavyopenda kujiita Shaa ameweka wazi
zile tetesi zilizokuwa zimezagaa kwamba ameondoka Mj Record na kesema ni
kweli hayupo chini ya lebo hiyo lakini haimaanishi kwa hafanyi kazi na
studio za Mj .
Hata hivyo Shaa amesema ameanzisha kampuni yake inayoitwa SK ambayo ni
matokeo ya kazi za sugua gaga,toba na nyingine ambazo zilirudisha
gharama za Mj na kumuwezesha kufungua kampuni hake hiyo binafsi ambayo
anatarajia kusajili wasanii hata wa tano ila kwa sasa yupo yeye peke
yake.
Hata hivyo Shaa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Sawa kupitia kampuni
yake hiyo ila unaambiwa Shaa hayupo taari kuyazungumzia mahusiano yake
kama ailivyo mpenzi wake Master J ambaye akiulizwa na huwa anajibu
lakini kwa Shaa nitofauti kabisaa
Monday, July 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment