Wiki
hii mtanzania Diamond Platnumz amekuwa miongoni mwa wasanii waliofanya
show kwenye tamasha la wasanii na muziki wa Afrika la
#OneAfricaMusicFest Mjini New York na wakati yupo kwenye show mtandao wa
TIDAL Wa kuonyesha muziki uliweka show hio Live na Hii ndio post yao
kuhusu Show ya Diamond Platnumz.
Saturday, July 23, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment