Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Siwezi’ ameiambia Times Fm, kuwa hapendi muziki wala hajawahi kupenda kazi yoyote ya Msodoki.
Katika hatua nyingine amesema rapa anayemkubali zaidi ni Young Dee kwa kuwa anauwezo wa kubadilika kulingana na Mazingira.“Sijawahi kupenda muziki anaoufanya Killer,” alisema Barakah. “Mi sio shabiki yake kabisa, najua ndio anatokea home na nini lakini sipendi muziki wake,”
No comments:
Post a Comment