Baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Diva kudai kwamba hamjui msanii wa
muziki Ruby, Ruby ameendelea kutema cheche kuhusiana na kauli hiyo.
Muimbaji huyo ambaye ameachana na uongozi wake wa zamani wa THT,
ameonyesha kuchukizwa na kauli hiyo ya Diva na kila akiulizwa kuhusu
kauli hiyo amekuwa akitoa maneno makali.
“Kuhusu Diva, bora tu niachane naye maana sioni vitu vya kumuongelea
kama anavyofanya yeye,” Ruby aliliambia gazeti la Mtanzania “Zaidi
namuonea huruma tu, namsikitikia na ninamwombea kwa Mungu amrudishie
akili zake. Nahisi ana ugonjwa wa kusahau, jambo ambalo ni baya sana
kulingana na umri wake,”
Pia muimbaji huyo amesema kwa sasa amefunga ukurasa wa kuzungumzia
masuala ya uongozi wake uliopita kuhu akidai kwa sasa ana nafasi ya
kufanya vizuri zaidi kimuziki.
Monday, September 19, 2016
JE Mwanamuziki Billnass Amejiunga na Label ya The Industry ya Nahreel? Jibu Liko Hapa
Msanii na mtayarishaji wa muziki wa The industry, Nahreel ameweka wazi kuwa label ya The industry ina project nyingi na rapper Billnas anayefanya vizuri na wimbo ‘Chafu Pozi’.
billnas
Rapper Billnas hivi karibuni aliwapa taarifa mashabiki wake ujio wa project nyingi kutoka The industry.
Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Nahreel amesema kwa sasa wana kazi nyingi na rapper huyo.
“Yeah Billnas na The Industry kuna kazi nyingi zinakuja, nisingependa kuziweka wazi kwa sasa kwa sababu ni mapema,” alisema Nahreel. “Lakini pia wasanii wa label ya The Industry tayari wana kolabo nyingi na wasanii wa kubwa hapa nchini, kwa hiyo naweza sema mambo mazuri yanakuja soon,”
Kwa upande wa Kundi la Navy Kenzo, Nahreel amewataka mashabiki wa muziki kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio wa kazi mpya za kundi hilo.
DUDU Baya a.k.a Mamba Aichana Chana Clouds Fm, Amwagia Sifa Rubby
Msanii mkongwe na asiyesahaulika katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya
dudu baya amekivua nguo kituo cha clouds fm kwa kuwaita ni wanafki
wakubwa, wanyonyaji wa wasanii, na wenye kuharibia wasanii ndoto za
mziki wao
Mamba alitolea mfano wasanii wanazungushwa mikoani kwenye tamasha la fiesta na kuambulia ujira mdogo, huku akisema pesa wanayopata kwenye hilo tamasha huishia hukohuko mikoani na hurudi dar wakiwa wamepayuka hawana kitu mfukoni
Dudu alisema hayo akipokuwa kwenye kipindi cha usiku cha FRIDAY NIGHT LIVE... FNL kinachorushwa na EATV
Alienda mbali zaidi kwa kumpongeza msanii mwenye kipaji anayekuja juu ruby kwa kusema ametoka kwenye minyororo ya wafu FM akawasihi na wasanii wengine wamuige ruby kwani ameonesha mfano
Akionekana mwenye afya km alivyokuwa zamani, amesema wafu fm hawajapiga nyimbo zangu kwa miaka sita sasa lakini sijatetereka naendelea na maisha yangu kama kawaida
Wakati akiendelea kuwatolea uvivu clouds fm mtangazaji wa kipindi hicho sam misago alitumia mbinu ya ziada kumtoa kwenye kile akichokuwa nacho moyoni
Hata hivyo alipongeza redio ambazo zipo chini ya IPP km East africa radio, radio one, capital fm na kusema hajawahi kuombwa pesa na mtangazaji au dj yeyote wa kituo hicho ili wimbo wake uchezwe hewan
Amevitaka vituo vingine kuiga vyombo vya ipp media
Kwa maneno ya dudu baya ni dhahiri wasanii wengi ni watumwa wa baadhi ya media house

Naongoza kwa Kutukanwa Kwenye Muziki, Lakini Najivunia Kuupeleka Muziki Sehemu Fulani – Ruge
Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba
amesema yeye ni mtu ambaye anaongoza kwa kutukanwa katika tasnia ya
muziki kutokana na harakati zake za kuupigania muziki.
Akiongea Ijumaa hii katika semina ya wasanii wachanga wa Dodoma iliyofanyika katika Ukumbi wa Royal Village, Ruge amewataka wasanii hao kuacha kukata tamaa katika harakati wanazopitia.
“Mimi ni mtu ninaeongoza kwa kutukanwa kwenye tasnia ya muziki,” alisema Ruge. “Nimetukanwa sana lakini hilo haliniumizi, najivunia kwa kuwa tumepambana sana kuusimamisha muziki wetu hadi kufika hapa,”.
Ruge Mutahaba ni mmoja kati ya watu waliosaidia kwa namna moja kuchochea kukuwa kwa muziki wa bongofleva nchini licha ya baadhi ya watu kutokubali harakati zake.

Tuesday, August 9, 2016
Monday, August 8, 2016
Download New Audio | Nikki Mbishi Ft. Nemo – Tulikuwepo
Wednesday, August 3, 2016
Download New Audio | Juma Nature - Mtumba
Download Audio | Chegge Ft Diamond - Acha Waoane
Friday, July 29, 2016
Usajili wa Paul Pogba Manchester United Kukamilika Masaa 48 Yajayo.
Klabu ya Manchester United inatarajiwa kumsaini kiungo wa Juventus Paul Pogba ndani ya masaa 48 yajayo baada ya kukubali kulipa ada ya wakala wake.
Taarifa za ndani ya klabu hiyo zimedai kuwa tayari zimeshakubaliana na Juventus kwa ada ya uhamisho wa mchezaji huyo ambaye anatarajiwa kufanya vipimo vya afya yake muda wowote huko nchini Marekani alipokuwa kwa kwenye mapumziko yake ya kujiandaa na msimu mpya.Pogba anatarajiwa kuweka rekodi ya kuwa ndiye mchezaji ghali zaidi kuuzwa kweye tasnia ya soka huku ikikadiriwa kuwa United wamekubali kulipa kiasi cha zaidi ya paundi milioni 100 ili kuipata saini ya mchezaji huo mwenye miaka 23 anayewaniwa na timu nyingine ya Madrid.
Aidha imedaiwa kuwa wakala wa mchezaji huyo, Mino Raiola anadaiwa ndiye chanzo cha kuchelewesha dili la usajili wa mchezaji huyo kwa kutaka kulipwa kitita cha paundi milioni 25 nje ya pesa za usajili wa mchezaji huyo.
Pogba anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano wa kuichezea timu hiyo na kupokea mshahara wa paundi 290,000 kwa wiki na atakuwa ni mchezaji wa nne kusajiliwa chini ya kocha mpya, Jose Mourinho akiwa mpaka sasa kasha msajili Eric Bailly, Henrikh Mkhitaryan na Zlatan Ibrahimovic.
Monday, July 25, 2016
Adobe Illustrator CC Portable 32 64 Bit Free Download
Adobe Illustrator CC Portable 32 64 Bit Free Download Latest Setup for Windows. Its full offline installer standalone setup of Adobe Illustrator CC Portable
Adobe Illustrator CC Portable 32 / 64 Bit Overview
Adobe Illustrator CC Portable is very handy software which is used to create resolution graphics. With this software you can create your own brushes as well and also take full advantage of incorporated image-tracing engine. It’s a vector graphics application which is designed to create illustrations and digital graphics. It is supported with the MercuryPerformance System. You can also download Adobe Illustrator CC 2014.
This specific system enhances your workflow and it provides greater speeds on the larger files. The unique feature of this software is that it is Resolution Independent which means that you can resize the elements without losing any quality. The GUI of this software is very interactive and you can easily get familiar with it. By the streamlined interface you can fluidly move through the workspaces. It delivers all the necessary tools which will ensure the best precision for graphics development. The customization in this software has a very wide extent and you can also create your own brushes. This software also has a wide range of brushes and it has a number of different brushes to provide you the look which you want in your illustrations. All in all this software is something very comprehensive for the Vector Graphics development and illustrations. You may also like to download Adobe Illustrator CC 2015.
Features of Adobe Illustrator CC Portable
Below are some noticeable features which you’ll experience after Adobe Illustrator CC Portable free download.
- It’s really useful vector graphics software.
- It has all the essential tools.
- Its interface is very intuitive.
- It has quick to access and easy to use approach.
- There is a lot of customization.
Adobe Illustrator CC Portable Technical Setup Details
- Software Full Name: Adobe Illustrator CC Portable 32 64 Bit
- Setup File Name: Adobe_Illustrator_CC_18.1.1.exe
- Full Setup Size: 416 MB
- Setup Type: Offline Installer / Full Standalone Setup
- Compatibility Architecture: 32 Bit (x86) / 64 Bit (x64)
- Latest Version Release Added On: 07th Jun 2016
- Developers: Adobe Illustrator CC Homepage
System Requirements For Adobe Illustrator CC Portable
Before you start Adobe Illustrator CC Portable 32 64 Bit Free Download, make sure your PC meets minimum system requirements.
- Operating System: Windows XP/Vista/7/8/10
- Memory (RAM): 2 GB of RAM is required
- Hard Disk Space: 1 GB of free space is required
- Processor: Intel Pentium IV or faster
Adobe Illustrator CC Portable 32 64 Bit Free Download
Click on below button to start Adobe Illustrator CC Portable Free Download. This is complete offline installer and standalone setup for Adobe Illustrator CC Portable. This would be compatible with both 32 bit and 64 bit windows.
Audio | Justin Bieber ft Cody Simpson – Stay Together | Mp3 Download
Audio | Justin Bieber ft Cody Simpson – Stay Together | Mp3 Download
Justin Bieber links up with Cody Simpson for a brand new single titled “Stay Together”. Download & Listen below.
Audio | Lil Kesh – Kojo | Mp3 Download
Audio | Lil Kesh – Kojo | Mp3 Download
Coming off from the release of his debut album “YAGI” young and talented act Lil Kesh dishes out this fresh banger tagged “Kojo” produced by super talented Young Jonn.
Download & Listen below:
Saturday, July 23, 2016
Audio | Cassper Nyovest – Mr Madumane (Big $pendah) | Mp3 Download
Audio | Rommy Ft Seba Tommy – Busy | Mp3 Download
Jinsi Ya Kumfanya Mpenzi Wako Wa Zamani (Ex) Atamani Kurudiana Nawe
Kumfanya mpenzi wako wa zamani kurudiana na wewe si jambo la rahisi
kutimiza, haswa kama iwapo ameshachukua hatua ya kusahau yaliyopita na
kupata mchumba mpya ambaye wanadate.
Wakati mwingine, inafaa ujipende wewe mwenyewe zaidi ili kufanya mtu
mwingine naye akupende. Inafaa uwashe kitu fulani ndani yako; ili
kufungua nishati ambayo inapatikana ndani ya mwili wako ili uweze kuwa
mtu tofauti.Wakati mwingine kama tumevunjwa moyo na kukata tamaa tunasahau kujipenda sisi wenyewe. Dunia yako haifai kuzunguka kwa mtu mmoja pekee. Kumbuka marafiki zako wapya na wa zamani sababu hao wanaweza kukusaidia.
Kuwa jasiri kufanya mambo ambayo hujawahi kufanya mbeleni. Kufanya hivyo kutakupa wewe nafasi ya rahisi kumpata na kurudiana na mpenzi wako wa zamani. Jaribu kuvumbua upande mwingine wa nafsi yako, na ukigundua kuwa unaweza kufanya mambo kama hayo, unaweza kujiamini kufuata maagizo haya ya kutumia saikolojia ili uweze kumfanya mpenzi wako atake kurudiana na wewe.
1. Tumia saikolojia mjeuko
Mfano
Mpenzi wako wa zamani Ex ameamua kuachana na mambo yenu ya zamani. Hajibu texts zako wala hataki kupokea simu zako.
Kitu cha kufanya
Bila shaka itakuwa wamezoea ya kuwa kila wakati unamfukuzia ama kutaka kujihusisha na kumbabaikia. Lile ambalo utahitaji kufanya ni usijisumbue kuwatext wala kuwapigia simu.
Kama itatokea mkipishana hata usijisumbue kumuangalia machoni. Akikusalimia mambo wewe mjibu tu poa. Hivi hivi unafaa kuwafanyia marafiki zake. Hakikisha ya kuwa unawafanya kana kwamba huwatambui kabisa katika maisha yako. Wewe jifanye mtu wa kawaida kabisa.
Ukifanya hivyo wataanza kushangaa kwa nini umeanza kuwapuuza kwa ughafla. Wataanza kujiuliza kwa nini umeacha kuwatumia jumbe fupi ama kukuona kwa nini siku hizi umeacha kuwa mtu wa kujamiiana. Mwishowe itafikia wataanza kuuliza marafiki wengine kutaka kujua kama umepata mchumba mwingine ama umeanza kudate mtu mwingine.
Owk. Kama unafanya haya yote kumbuka usivuke mipaka. Wakikusalimia jibu salamu zao lakini usiwe wewe wa kwanza kutoa salamu. Muda si mrefu watagundua ya kuwa mchezo umewajeukia wao bila hata wao kutambua.
2. Jipe shughli kwa kuwa buzy
Hakikisha kuwa unajipa shughli zako kila muda. Mwanzo kama mnafanya kazi katika jengo moja ama mnasoma darasa moja hakikisha ya kuwa unafanya shughli zako kama kawaida ili uonekane huna muda na mambo ambayo anafanya...yaani humtambui kama yuko hapo.
Kwa bahati mbaya iwapo itatokea umekuwa na yeye katika sehemu moja jifanye unatext mtu ili mradi usiongee na yeye. Hii itamfanya yeye kujiona mjinga akiwa kando yako sababu wewe upo buzy na shughli nyingine. Kama ni hali mko shuleni, unaweza kumpuuza kwa kujikeep buzy ukiongea na rafiki yako mwingine
3. Usijifanye uonekane mwenye wivu
Mfano
Umemuona mpenzi wako wa zamani akiandamana na mwanamume/mwanamke anayevutia kama vile Justin Bieber/Beyonce wakitembea wakija upande wako.
Kitu cha kufanya
Usionekane mwenye wivu. Jiweke asili yako vile ulivyo.
Unaweza fikiria unapishana tu na wapenzi wawili ambayo huwajui kamwe. Usijaribu kuwakimbia.
Ukijaribu kuwahepa utakuwa unatuma ujumbe kwa mpenzi wako wa zamani ukiashiria ya kuwa bado unawapenda na kumwona yeye na mwanamume/mwanamke mwengine kumekufanya uvunjike moyo. Huku kutawafanya wao kujiskia wako juu na kujiskia raha. Badala ya wewe kuwafanya wajiskie hivi, hakikisha ya kuwa unawapuuza kabisa. Jambo hili litawafanya kuwa na maswali mengi iwapo kama tatizo liko wapi. Kile unachofaa kufanya nikuwapuuza.
4. Badilisha muonekano wako. Kuwa mtu tofauti
Owk najua ushawahi kuskia zaidi ya mara elfu moja kuwa unafaa kubadilisha muonekano wako ili kujionyesha. Well, kufanya hivi kuna umuhimu gani?
- Kujibadilisha kunakupa mwonekano mpya na kunakufanya ujiskia vizuri kuhusu wewe mwenyewe. Kufanya hivi kunakupa confidence na kuweza kujiamini kila mahali utakapokwenda.
- Kama unaonekana vizuri, kwa kawaida inakuwa kama ni kioo kinachokumulika ndani yako. Hii itatuma meseji kwa mpenzi wako wa zamani kuashiria kuwa maisha yako hayazunguki kwa mtu mmoja pekee ambaye ni yeye.
- Iwapo umejibadilisha kabisa, watagundua ya kuwa kuna nafasi ya haraka kwako kuweza kupata mchumba mwingine. Hii inaweza kumfanya Ex wako kuingiwa na hisia za woga wa kukupoteza asilani. Hivyo kuna uwezekano wa yeye kujipendekeza kwako ili mrudiane.
5. Kuwa mtu usiyejali na ujiburudishe
Tumia muda wako ulionao kujiinjoy na marafiki zako. Jumuika na marafiki
zako sehemu tofauti, cheka zaidi, enjoy maisha hadi kilele chako. Iwapo
ulikuwa na stress ama mkazo wa maisha wakati ulipokuwa ndani ya
mahusiano naye na sahizi umekuwa tofauti itaashiria kuwa umekuwa na
utofauti mkubwa na kuwa ndani ya mahusiano naye ilikuwa ni balaa tupu
6. Jifunze kukataa
Ukionyesha kuwa bado unampenda mpenzi wako wa zamani, basi wanaweza
kuutumia huu mwanya kukutumia vibaya kwa kuwa hauna uwezo wa kukataa
chochote ambacho wanaweza kusema.
Acha kuwa mtu wa aina hii kwa kujikeep buzy na mambo tofauti ya muhimu.
Jiheshimu wewe mwenyewe kwa kukataa kutumiwa ovyo. Usikubali kamwe
kufanywa mtumwa na mpenzi wako wa zamani. Mwonyeshe kuwa umekuwa tofauti
kabisa na mtu ambaye ulikuwa zamani.
Jipe shughli na vitu vyako ili usiweze kutumiwa na ex wako. Hata kama ni
kumsaidia na kitu ambacho kinaweza kuchukua dakika 15 unahaki ya
kumwambia usoni mwake kuwa haujiskii na kile anachotaka umfanyie.
7. Ingia gym, boresha umbo lako
Kuingia gym ni mbinu moja wapo ambayo unaweza kuitumia kusahau mambo
yako ya zamani. Pia kuingia gym kunakupa nafasi kwako kujishepu mwili
wako ili uwe na toni ya kuvutia. Pia gym inakusaidia kukupa confidence
na kujiamini. Pia gym inakufanya uwe na nguvu zaidi.
Mpenzi wako wa zamani aka ex wako akiona mabadiliko yako ya kimwili,
kujiamini na nguvu bila shaka atavutiwa nawe. Labda wakati mwingine
anaweza kukuomba kama unaenda gym muende pamoja.
8. Usiwahi kumsifia
Mfano
Wewe na ex wako mmekutana katika birthday party ya rafiki yenu halafu
akakusifu kwa mtindo wako uliovalia kwa kusema "Umependeza". Wewe ni
lazima umjibu pia.
Vile unavyotakiwa kusema
Mjibu kwa kumsifia lakini usiingie sana. Unaweza kumwambia "Pia wewe
umependeza lakini mtindo wa nywele zako umekaa vibaya na nguo" ama "Hio
nguo uliyovaa inaweza kufanya kila mwanamke akuangalie lakini marashi
uliopaka yananuka vibaya"
Ok hii itawachanganya kabisa kwa sababu hawakutarajia kamwe kuskia neno 'lakini' katika kuwasifia.
Unaweza kuonekana mchoyo lakini hio ni muhimu katika kutimiza lengo lako
la kutumia mbinu ya kisaikolojia ili kurudisha akili yake kwako.
Mwisho nikuwa ukitumia mbinu hizi zote kuna uwezekano mkuu wa ex wako
kukutizama na sura mpya. Kurudiana na ex wako kutategemea na chanzo
chenu cha kwa nini mliachana mara ya kwanza. Labda ilikuwa ni sababu ya
kuboeka na mahusiano yenu ama sababu tofauti kabisa.
Maswali 20 Machafu Ya Kumuuliza Mwanamke Whatsapp Ambayo Yatamfanya Apandwe Na Nyege
Wanawake
wanapenda kuwa wagumu sana kila wakati ikifikia maswala ya kuwatongoza.
Ni vizuri kuwa hivyo kwa sababu haitakuwa na maana kwa mwanaume kumpata
mwanamke yeyote bila kutoa kijasho.
Wakati mwingine inakuwa rahisi kwa mwanaume kumsisimua mwanamke haswa ikifikia maswala ya kumshawishi.
Kuna njia tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia kumshawishi mwanamke yeyote kuingia katika box lako. Hapa tumekurahishia kazi kwa kukuandalia maswali ishirini ambayo ukimuuliza mwanamke yeyote utamfanya azimie. Maswali haya unaweza kuyatumia mkiwa pamoja ama kama mwanamke anaweza kuhisi fedheha kiasi flani basi ni vyema zaidi kutumia maswali haya katika text, mtandaoni ama Whatsapp.
Tumia maswali haya kumuuliza aidha mpenzi wako ama ni mwanamke yeyote yule ambaye huwa unamtongoza. Unaweza kuanza na swali lolote lile ilimradi uwe unachat na yeye muda wote. Hakikisha umetumia maswali nyakati za usiku ili uweze kupata matokeo mazuri.
1. Uko pekeako?
Swali hili linaeleweka kuuliza kama yuko pekeake na hana kitu cha kufanya nyumbani. Akijibu yuko pekeake. Mjibu kwa kumwambia kuwa unatamani ungekuwa uko na yeye pale alipo sasa.
2. Unafanya nini sahizi?
Fanya kumuuliza hivi kwa umakini ili ujue kama yuko huru ama vipi. Kama ana kazi basi itakuwa ni vigumu kwake kumakinika na mpango mzima. So hakikisha kuwa hayuko buzy. Wanawake wengi hupenda kusema kuwa wako kitandani hawana kitu cha kufanya.
3.Wapenda kupapaswa wakati umelala kwa kitanda?
Swali hili ni kama changamsha bongo kwake. Hii inatoa nafasi ya kuiweka akili yake kwa chat na kuanza kuongea maswala ya kimapenzi polepole bila kumfanya aingiwe na woga ama kushuku nia yako chafu.
4. Unavalia nini kama unaenda kulala/ umevalia nini sasa hivi?
Hili ni swali lenye shauku kwa mwanamke ambaye tayari amejilaza kwa kitanda. Hili ni swali la kibinafsi na bado halijatimiza kumfanya mwanamke kuingiwa na akili ya kusisimuliwa. Akitaja kile alichovali unafaa kumjibu kwa mfano: "Duh!, sahizi umenifanya nianze kukuwaza vile ambavyo umerembeka".
5. Hivi waona unarembeka / sexy zaidi ukivalia nguo gani?
Mfanye aanze kuongea mambo na nguo ambazo akizivaa zinamfanya akuwe sexy ama zinazomrembesha. Atajieleza vile alivyo yeye. Hapa utakuwa unamsoma akili yake iwapo anaweza kustahimili chat yako. Akitaja anapenda kuvaa kanga, jaribu kuichafua akili yake kwa kumuuliza iwapo amenyeshewa na mvua akiwa amevalia kanga(ama nguo yeyote) angejihisi vipi.
6. Ushawahi hata mara moja kumuona mtu mwengine akifanya ngono kwa bahati mbaya?
Swali kama hili linawaweka nyote katika hisia za kupandwa na nyege lakini mnaliweka swali hili kwa mtu wa tatu ili liwazuie mjiskie huru kuendeleza na chat yenu.
7. Ushawahi kushikwa matiti na mtu yeyote kibahati mbaya wakati mmesimama mahali hadharani penye watu wengi?
Swali kama hili linaweza lisimshangaze mwanamke kwa sababu wanapitia mambo kama haya. Akikubali, mjibu ungetamani kuwa ni wewe umemshika kibahati mbaya. Akijibu kwa kucheka ujue mchezo unaenda sambamba.
8. Ushawahi kufanya ngono na jamaa kwa sababu ya kuwa ulikuwa na nyege?
Fanya kumfahamu kama ni mwanamke ambaye anaweza kufanya ngono na mwanaume wakati ambapo anapoingiwa na nyege. Wanawake wengi wanaweza kukataa kujibu hili swali lakini ukiona amekujibu vizuri basi inaonyesha kuwa mwanamke huyu yuko tayari kujibu swali lolote lile ambalo umemwandalia.
9. Kwa bahati mbaya ukimwona mwanaume akiwa uchi ungependa kuona sehemu gani yake ya mwili kuanzia mabega kushuka chini?
Sasa hapa umeanza kuwa mkorofi kwa kuanza kumuuliza maswali ya kiujanja. Hii itamfanya yeye aonekane ndiye anatumia maneno machafu na wala si wewe.
10. Unapenda gani kati ya boxer ama chupi?
Hili ni swali na kumchanganya tu. Akikujibu anapenda boxer mwambie umevalia nini. Hapa kutamfanya aanze kufikiria vile umevalia. Ataanza kukuwaza ukiwa umevalia boxer ama chupi pekee.
11. Siri yako ni ipi ya kumpagawisha mwanaume kihisia?
Kwa kumuuliza hivi utamfanya yeye kufikiria akifanya mapenzi na mwanaume na atakuwa akikuelezea. Hii itamfanya yeye kuingiwa na mawazo ya ngono. Wakati uo huo anaweza kukueleza zaidi kuhusu kwa nini yeye ni bingwa wa kupagawisha mtu.
12. Kama kuna sehemu ambayo mwanaume anayoweza kukugusa na kukufanya kuingiwa na unyevu ingekuwa ni ipi?
Hili ni swali la moja kwa moja ambalo litamfanya kupandwa na kuingiwa na nyege. Kama atalijibu na ukweli wake wote, basi fahamu ya kuwa atakuwa amepandwa na nyege.
13. Je ukipapaswa mwili mzima unaweza kuingiwa na unyevu?
Wanawake wengi wakipapaswa vizuri kwa kawaida huingiwa na unyevu. Hivyo unaweza kumjibu kuwa wewe una ustadi wa aina hio so ukikutana na yeye hilo ndilo jambo la kwanza la kumfanya ili kumsisimua.
14. Kama nimekupiga busu kwa bahati mbaya wakati nakuaga, utanichukulia vibaya?
Swali kama hili litamfanya kuanza kufikiria busu lako kama lingekuwaje.
15. Mwili wangu ungeuona wa kuvutia ukiwa na manywele ama ukiwa umenyolewa?
Swali kama hili fasta litampa taswira ya wewe ukiwa uchi kwa madakika fulani akikuona ukiwa na manywele ama umenyolewa.
16. Kama wataka kufanya mapenzi na mwanaume ungependa wewe kuanza ama yeye?
Swali hili litamfanya afikirie akiwa uchi tayari kufanya ngono.
17. Kitu gani mwanaume anachofaa kukufanyia ili uingiwe na unyevu?
Hapa unaingia direct kwa swali ambalo ni tamu. Akikujibu vizuri unafaa urudie tena swali la 12 ili apate kukuelezea kwa kina.
18. Kama ningekuwa nakunongonezea maswali haya yote kwa sikio lako, je ningekusisimua kihisia?
Kama umeifanya hii chat imeenda vizuri, kufikia sasa inafaa kuwa huyo mwanamke ameingiwa na unyevu kitambo. So kwako ni kumsikia mwenyewe kama atakujibu nini.
19. Kama haungekuwa na boyfriend, je mimi na wewe tungeweza kufaana? ? Kama ningekuwa na wewe sahizi tungeweza kulana dende?
Swali kama hili laweza kukufanya ulazwe kwa kitanda, lakini hili swali la mwisho ndio litafunga mchezo.
20. Kama mwanaume yeyote muda huu angekuja sehemu unayoishi na kufanya ngono na wewe ungeipenda?
Usijizungumze kuhusu wewe wakati unapomuulizwa maswali kama haya. Lazima uhakikishe ya kuwa anakutaka. Akijibu 'ndio' kimbia fasta kushinda fastjet hadikwa nyumba anayoishi. La sivyo, hakikisha kutumia mbinu nyingine za ushawishi hadi atakapokuruhusu uende nyumbani kwake.
CREDITS TO NESIMAPENZI

SERIES: Underworld – Season 03 [Imetafasiliwa Kiswahili] | Download Now
An
origins story centered on the centuries-old feud between the race of
aristocratic vampires and their onetime slaves, the Lycans.
Audio | DJ Khaled ft Kendrick Lamar, Big Sean & Betty Wright – Holy Key | Mp3 Download
Audio | DJ Khaled ft Kendrick Lamar, Big Sean & Betty Wright – Holy Key | Mp3 Download
DJ Khaled calls on Kendrick Lamar, Big
Sean & Betty Wright for his latest “Major Key” leak “Holy Key.” DJ
Khaled’s is getting ready to release his highly anticipated new album
next Friday, July 29 called Major Key. Laced with “14 anthems,” the
follow up to I Changed A Lot will feature a star-studded lineup
consisting of Jay Z, Future, J Cole, Drake, Lil Wayne, Rick Ross, Meek
Mill, Chris Brown, Big Sean, and plenty more.
Diamond Platnumz Kwenye Post ya Mtandao wa TIDAL Ya Jay Z...!
Wiki
hii mtanzania Diamond Platnumz amekuwa miongoni mwa wasanii waliofanya
show kwenye tamasha la wasanii na muziki wa Afrika la
#OneAfricaMusicFest Mjini New York na wakati yupo kwenye show mtandao wa
TIDAL Wa kuonyesha muziki uliweka show hio Live na Hii ndio post yao
kuhusu Show ya Diamond Platnumz.
Tuesday, July 19, 2016
Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apandwe Na Nyege Kwa Kukaa Kando Yake..
Kumfanya mwanamke apandwe na nyege ni ndoto ya kila mwanaume ambayo angependa kutimiza. Kutaka kujua mbinu hii, nimekuletea hatua 8 ambazo ukizifuatilia kwa umakini utafaulu wakati wowote.
Ok, kabla tuanze ngoja niweke wazi...jambo hili si rahisi.
Kumfanya mwanamke kupandwa na nyege lazima nyote wawili muwe na tenshen ya kimapenzi
Ukiingiwa na tamaa ya kuruka hatua hata moja katika hii orodha nilioiweka hapa basi fahamu ya kuwa utaharibu mpango mzima, na itakuwa vigumu kwako kutimiza ajenda yako chafu.
Nafasi ya kumfanya mwanamke apandwe na nyege mara nyingi huwa haipangwi, hutokezea tu. Hivyo ukipata nafasi kama hii unaweza kuitumia kadri uwezavyo.
Jinsi ya kumfanya mwanamke apandwe na nyege
Kabla kufanya lolote na mwanamke unayeazimia kumfanyia kitendo hiki lazima ulete kemia ya kimapenzi kati yenu. Njia nzuri ya kufanikisha hivi ni kutumia mbinu ya kumtext ama kutumia jumbe fupi za kimapenzi. Tumia mbinu hii tumsuka na kumrushia maneno ya kuvutia mpaka akuzoee.
Ukiona ama ukigundua kuwa kuna kemia ya kimapenzi kati yenu, sasa unaweza kukaa na yeye ili utumie hizi mbinu ambazo uko karibu kuzifahamu.
Ok wengine wangeuliza kama kweli iwapo inawezekana kumfanya mwanamke apandwe na nyege ukikaa na yeye. Jibu langu ni kuwa soma hatua hizi 8, zifanyie mazoezi halafu ukazijaribu. Najua utanijibu wewe mwenyewe.
Bila ya kupoteza muda hebu zama nami katika hizi hatua.
1. Kaa kwa kubanana naye
Unapokuwa na mwanamke ambaye umemzimia, tafuta kisababu cha kukaa na yeye sako kwa bako. Toa tablet yako umuonyeshe kitumizi kipya ulichodownload, ama unaweza kuchukua kitabu/gazeti umuonyeshe habari ambazo anapenda.
Wakati umekaa na yeye hakikisha ya kuwa hauachi nafasi yeyote kati yenu. Hakikisha ya kuwa mikono yenu inashikana. Ikiwa umeacha nafasi ndogo kati yenu, hakikisha umemsogelea hadi mnabanana. Ukishafanya hivyo, fasta toa tablet/simu yako umuoneshe app yeyote ama habari zozote mpya za udaku ili mradi umchanganye akili ili asisongee mbali na wewe. Hakikisha mikono yako inapata nafasi ya kulisha mikono yake kwa sababu hii ndio njia moja kuu ya kuleta tenshen kati yenu
2. Maslahi yake uyazingatie
Usijaribu kutumia lugha ya kutongoza ama utamfanya aanze kukushuku. Tayari anajua kuwa miguso ya mikono yako ya mara kwa mara inaashiria kitu fulani. Kile unachotakiwa kufanya ni kuivuruga akili yake kwa kuleta mada ambayo itamvutia.
Ichukue atenshen yake kwa kumgusia maswala ya udaku ama skendo ambalo umeliskia mahali fulani. Iwapo utaendelea kuzungumza na yeye na kumfanya awe na shangwe, basi atachukulia kubanana kwenu na miguso yenu ya mikono ni jambo la kawaida tu na halina ajenda yeyote.
3. Anza kutumia lugha ya kumsuka/flirt
Kumfanya mwanamke apandwe na nyege ni jambo rahisi sana iwapo nyote wawili mtakuwa katika sehemu ambayo haina usumbufu. Aidha inaweza kuwa chumbani, maktabani, ndani ya basi nk. Mahali popote pale mlipo ilimradi uhakikishe unamkeep busy na kufanya yale ambayo yanastahili kufanywa.
Wakati mtakuwa mnaendelea na gumzo lenu, unafaa kutumia maneno ya kumsuka lakini yawe ya kichini chini. Mfano unaweza kumwambia "Unanukia utamu", "nimependa kitambaa cha nguo yako","nishawahi kukuambia kuwa macho yako yanapendeza? Nimependa vile yanang'aa nikiwa karibu yako." Maneno kama haya unaweza kumrushia mwanamke huyu bila hata yeye kusongea mbali na wewe. Mwanzo atakuwa anapenda kuyaskia.
Mara kwa mara ingiza maneno ya kusuka. Kama mbeleni ushawahi kumtumia texts chafu unaweza kuleta stori kuhusu baadhi ya texts hizo ili umkumbushe mambo ya kimapenzi ambayo mumekuwa mkitumiana.
4. Shika vidole vyake
Huu mchezo ucheze kwa tahadhari na polepole. Hakikisha nyote wawili mnagusana vidole vyenu kibusara. Iwapo itatokezea ataingiwa na wasiwasi ama kutojiona sawa, basi hapo ndipo itakuwa tamati yako ya kumfanya apandwe na nyege. Jaribu kutafuta kisababu cha kushika vidole vyake aidha kwa kusugua mikono yake na yako ama kumpatia kitu ashikilie. Msifie vile mikono yake iko laini kama pamba. Kufika hapa lazima atakuwa ameanza kujua ajenda yako chafu kwake. Hakikisha ya kuwa hauna pupa ya kufanya chochote cha haraka. Ukiwa mpole kwa kuchukua hatua kwa hatua basi pia yeye atakuwa anafurahia.
5. Mnong'onezee katika sikio lake
Hii itatekelezwa vizuri iwapo mko katika sehemu ambazo kuna watu wengine. Mfano ndani ya basi, mkiwa na marafiki zenu, katika sinema, viti vya nyuma vya gari ama mkiwa nyumbani wakati mnaangalia kipindi pamoja, itakuwa sehemu bora zaidi kufanya kitendo kama hiki.
Usijaribu kuleta ucheshi ndani yake kwa kuwa ukifanya hivyo kutaua mpango mzima. Hivyo msogelee kwa sikio lake na kumsifia kwa jambo fulani. Mwambie kuwa umeshindwa kujizuia kumwambia maneno hayo ya kumsifu kwa mara nyingine.
Iwapo unataka kugonga ndipo, unaweza kumsogelea hadi kwa sikio lake na kumwambia kuwa ungependa kutoka out na yeye siku moja.
Unapotamka maneno ya kimahaba katika sikio lake hakikisha ya kuwa unapumua kwa uzito. Kufanya hivi kutasisimua nywele zake za malaika zinazopatikana nyuma ya shingo na mikononi mwake. Pia usisahau kulisha midomo yako kwa sikio lake ili kuleta mtizamo wa kumtesa kwa kujaribu kumla dende kwa sikio lake
6. Jaribu kumfikia kwa upande mwingine
Ili hatua hii iweze kufanikiwa, lazima uanze kuhisi tenshen ya kimapenzi kutoka kwako. Usijaribu kuifanya hii hatua kama hakuna tenshen ya kimapenzi kutoka kwako. Iwapo tenshen ya kimapenzi uko nayo tayari, usitie shaka kwani pia kwake itakuja mara moja.
Kwa kuwa mpaka sasa umekuwa ukigusagusa mikono yake na kumnogonezea kwa sikio lake mara kwa mara, sasa tuchukue hatua nyingine ya kujaribu kuchukua kitu kutoka upande wake mwingine wa kwake.
Mfano umekaa na yeye sako kwa bako chumbani mnaangalia tv halafu ukataka kuchukua remote ya tv, wakati unapitisha mkono wako hakikisha ya kuwa mkono wako unalisha matiti yake ama sehemu nyingine ya mwili wake. Hakikisha ya kuwa unafanya ionekane jambo la kawaida bila kujifanya fala kwa kujishuku
Kama matiti yake huwezi kuyafikia unaweza kupitisha nyuma ya mgongo wake ama juu ya mapaja yake ama sehemu yeyote ile ambayo kwa kawaida huwezi kuigusa kawaida ukiwa naye.
7. Isome miondoko yake
Ukianza kumuona anazungumza polepole na kukusongelea karibu yako, ishara kuu ni kuwa ameshapandwa na nyege kama ulivyo wewe. Najua iwapo umetumia hatua hizi moja baada ya nyingine kufikia sasa najua umesimikwa. So kufikia hapa unaweza kurudia hatua za kumsuka, kumtesa, kumgusa na kujaribu kufikia viungo vyake vingine vya mwili ilimradi nyote wawili mnafurahia.
Lisha mikono yako kwa matiti yake ama uangalie shati lake kama utaona vitu vimesimama kwa matiti yake, utakuwa umefaulu kumfanya mwanamke apandwe na nyege!
8. Muulize kumtoa out
Ok hatua hizi zote naona hazifai kupotea hivi hivi. Waonaje umuulize kama anataka umtoe out? Bila shaka hawezi kataa kwa sababu muda huu mfupi umekaa na yeye utakuwa umempagawisha vya kutosha.
Psss! Baada ya kutoka naye deti na akakubali kulala na wewe (hio ni lazima kama tayari ushawahi kumpandisha nyege) unaweza kutimiza hatua za kumfikisha kileleni kwa kujaribu hizi staili 365 ambazo tumezitengeneza spesho kwa ajili yako.
Anyway, mwanamke furaha yake kuu ni uwezo wako wa kumtimizia vyema kitandani. So usipoteze nafasi hii ya kumfanya mwanamke akuone wewe ndiwe mwanaume kati ya wanaume wote.
CREDITS TO ; NESIMAPENZI.COM

Subscribe to:
Posts (Atom)